Darassa – Confidence ft. Shady
Tanzanian super talented singer and songwriter, Darassa come through with a brand new single titled “Confidence.”
On this studio record “Confidence”, Darassa called on the vocal assistance of Shady who added his impressive verse to the song.
Also, this new amazing record acts as a follow-up to his previously uncovered record captioned “Information.”
This freshly delivered thriller is sure to captivate listeners. Not to mention, it’s a must-add for music fans looking to improve their collection with exceptional compositions.
Intro
Sometimes vikwazo vinakaaga njiani
Sometimes mawazo yanapandaga kichwani
Sometimes maumivu yanakuja chumbani
Kwenye furaha na huzuni naimba ni wewe
Sometimes vikwazo vinakaaga njiani
Sometimes mawazo yanapandaga kichwani
Sometimes maumivu yanakuja chumbani
Kwenye furaha na huzuni naimba ni wewe
CHORUS
Ukisikia NAIMBA
Ukisikia NASHINDA
Unanipa CONFIDENCE
Your My CONFIDENCE
Sometimes napita kwenye shida
Wewe unanishindia
Your My CONFIDENCE
Unanipa CONFIDENCE
VERSE 1
God bless My family, Bless My Friends
Bless My Hands, Everything that I touch I wana see Changes, break this Chains
Get me out of this Cage
Bless where I go Bless my feet where I stand
Bless siku za kazi, Bless my weekend
Mungu akisema utoke, akafungua Baraka
Watu wakupake matope bado Utatakata
Huko kizani msiogope, tuombe mwanga Tutapata
Shetani mchawi Hana mamlaka Takataka
Umenipa Spirit, umenipa Ability
Umenipa Dignity, asante kwa Kunibariki
Umenipa macho ya kuona njia some other people don’t See.
Unanipa ways unanipa plans AB na C
All the things that I’ve been Through
I’m Thankful I’m Grateful
Look at the Stars, Look at the Moon, Sunshine Isn’t Beautiful ?!
CHORUS
Ukisikia Naimba
Ukisikia Nashinda
Unanipa CONFIDENCE
Your my CONFIDENCE
Sometimes napita kwenye shida
Wewe unanishindia
Your my CONFIDENCE
Unanipa CONFIDENCE
VERSE 2
Without You I can do Nothing
You see My Struggle you came and you did Something
You bring Light in a dark it was a Big Bumping
Mwanamke Mzuri na Watoto I’m So Happy
Wapo walio ji Confuse, wanashangaa ni mzima wa Afya Just some Bruises
No Excuse, Now No Kubuzz Buz
Endelea kunipa Wisdom nikifanya Maamuzi
Protect My Kingdom kwenye Vita ya Wachukuzi
Liwake Jua Sawa, Mvua kwetu Shower
Jina lako Dawa umeniponya nipo Sawa
Neno lako Power umenivusha kwa Mabawa
CHORUS
Ukisikia Naimba
Ukisikia Nashinda
Unanipa CONFIDENCE
Your my CONFIDENCE
Sometimes napita kwenye shida
Wewe unanishindia
Your my CONFIDENCE
Unanipa CONFIDENCE
Ni wewee Ni Wewee
Unanipa CONFIDENCE
Ni wewe Ni Wewee
Your my CONFIDENCE
Listen and enjoy Darassa – Confidence ft. Shady Below:-